Friday, 28 May 2021
UEFA FINAL GAME IN ENGLAND PITCH... CHELSEA vs MAN CITY
Thursday, 27 May 2021
Manchester United loss Europa agaist villarreal after 11 Penalt....
Thursday, 20 May 2021
DESKTOP SPECIFICATION FOR HOME AND OFFICE USE....
POWER SUPPLY: Scaled appropriately to support delivered system with reasonable growth potential (In Win CE685 PC case with 300-watt 80PLUS certified power supply
CASE: In Win CE685 PC case with 300-watt 80PLUS certified power supply
CPU: Intel Core i5-11400 Processor
RAM: 8GB DDR4 2666 (PC4 21333) RAM (1 8GB DIMM) it is recommended the computer to have more than one RAM Slot.
NIC: On-board 10/100/1000 Mbps based Ethernet NIC
HDD: 250 GB Western Digital M.2 NVMe SSD Part # WDS250G2B0C
VIDEO: Integrated Intel HD Graphics with DVI Digital Output Interface
OPTICAL DRIVE: (optional)
AUDIO: Onboard HD audio (this is optional as not come with internal speaker but make sure the external speaker is working properly)
EXTERNALLY POWERED SATELLITE SPEAKERS: (optional)
6 EXTERNAL POWERED USB PORTS AND 2 ON FRONT OF CASE
OPERATING SYSTEM: Microsoft Windows 7 Home Basic (or other least expensive Microsoft Windows operating system) it can be above this OS not Limited to Maximum version only for Min-Version.
ALL APPROPRIATE CABLES NECESSARY HIDS: USB Optical mouse, mouse pad, USB keyboard, all necessary cables
WARRANTY 3-year parts and labor warranty on all components, and make sure the Condition for warranty is well explained on the manual book with your Device
MONITOR: 20″ Wide Screen LCD Monitor (1920×1080 native resolution) with DVI Digital Input Interface.
On the next Post we will describe the Factor for Personal Computer 🖥 (Laptop) For any Question, please Comment here down and our expert will come to chat with you direct to your email, also your allowed to ask for Specific Requirement of your Computer depend on what you want to do with it.
SIMBA FC DO or DIE SEASON 2
KAGERE; CHAMA; MIQUISO; BOKO; MORRISON TUMAINI LA SIMBA
Ikiwa ni siku mbili tuh simebaki kwa Simba kuipata hatima ya Timu yao kuendelea na michuano ya mabigwa afrika au kurudi kucheza mechi za ndani kama watani wao Yanga. Japo ni ngumu ila wachezaji wa Simba pamoja na Kocha wao Gomez wamesema haya katika mahojiono na waandishi tofauti tofauti wa habari "Nikweli tuna mlima mkubwa wa kupanda ili kuendelea na safari yetu ya michuano hii ya mabigwa wa soka barani Afrika lakini hatujalala wala kukata tamaa tangu tumerejea kutoka Afrika ya Kusini na tupo kwenye mazoezi ya kufa na kupona kuhakikisha tunapanda kilima hicho cha ushindi wa goli 5 kwa o katika uwanja wetu wa nyumbani Pale kwa Mkapa! na kurudisha imani ya mashabiki wetu ikiwa ni sambamba na kupata tiketi ya kuendelea katika hatua ya nusu fainali"Hiyo ndio kauli ya Simba kwa ujumla kwa sasa ikiwa ni njia ya kutiana moyo na kuongeza maandalizi katika kuwania nafasi ya kuingia katika hatua ya nusu fainali na hatimaye fainali ya Kombe la mabingwa afrika.
Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Simba FC
Monday, 17 May 2021
DIMBA LA KWAMKAPA TUMAINI PEKEE LA SIMBA NUSU FAINALI....
Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Simba, Kwamkapa ikawe njia ya Nusu Fainali...
Wednesday, 12 May 2021
SAKATA LA CHANJO YA CORONA BUNGENI...
Mara baada ya Raisi wa awamu ya sita Mh. Samia Suluhu Hassan kuapishwa na kuwa raisi wa nchi ya Tanzania alitangaza kuunda kamati maalum ya kuchunguza maradhi mapya ya Corona unajulikana kama Covid 19 ulioibuka December 2019 nchini China na baadae kusambaa takribani duniani kote.
Nchi ya Tanzania ikiwa chini ya uongozi wa Dr. Magufuli, aliamua kutangaza kutokukubaliana kwa namna yeyote dhidi maradhi ya Corona na kubwa zaidi Tanzania ikawa tofauti na nchi nyingi duniani baada ya kutangaza kwamba hakutakuwa na Lockdown yoyote na akiamuru ratiba zote zirudi kama awali kabla ya kuibuka Corona na hapo mipaka yote ikawekwa wazi na ofisi zote kufunguliwa bila kusahau shule na vyuo vyote kufunguliwa na mambo yakawa sawa kabisaa. Na wanasema Mungu si Athumani basi kila kukicha Tanzania ikawa ikishuka idadi ya wagonjwa wa Corona na kufikia 0% ya taarifa ya vifo na waathirika wa janga la Corona... Amiin Mwenyezi Mungu alitusimamia na anazidi kutukingia mkono, tuzidi kumtumainia yeye na kuamini kwamba yeye ni muweza wa yote.
Ila baada ya kamati kuundwa na kuja na taarifa bungeni ni wazi kwamba inashauri kuikubali Corona na kuanza kuchukua hatua dhidi ya janga hilo ikiwemo na kutafakari chanjo ya kuwapatia watanzania. Je hii kwako imekaaje?
Baadhi ya wabunge wa bunge tukufu la Tanzania wamelisemea hili bungeni na moja ya mmbunge aliyepata nafasi na kuzungumza vyakutosha ni mmbunge wa Kawe jijini Dar es salaam na kujaribu kuzielezea baadhi ya chanjo ambazo huenda mojawapo ikachaguliwa kutumika nchini kwetu. Nanukuu "Ukweli ni kwamba chanjo zote zinazotumika duniani zimepitishwa na mashirika ya dawa ya dharura mbali na hilo zote bado zinatumika huku zikiwa kwenye majaribio" Amewaomba wataalamu wa nchi kuzichunguza zaidi ikifungamana na kutazama madhara tunayopitia sasa yakutokuwa na chanjo na yale tutakayoyapata kutokamana na chanjo hizo! Hivyo basi kujaribu kuwa wavumilivu na kutizama madhara ya miaka kadhaa ijayo kwa wale watakaokuwa wametumia chanjo hizo. Hii hapa video ya Mh. Gwajima akiwa bungini watch out!
Ni muda sahihi watanzania kuungana na kushauri kuhusu maradhi haya ikiwa ni pamoja na kumtanguliza Mungu wetu tunayeamini anaweza na yupo juu ya kila jambo.
40's YEAR's OF BOB MARLEY IN HEAVEN...
R.I.P BOB MARLEY
SIMBA FC YATUA KIBABE SOUTH AFRICA...
Tuesday, 11 May 2021
FAIDA ZA KUCHEZA GAME'S KWA WATOTO NA WATU WAZIMA...
Uwepo wa Games umeleta maswali mengi haswa kwa wazazi na walezi wa watoto na wengi wao kubaki njia panda bila kujua kwamba kuna faida ya kucheza Games au ni hasara tupu, na je kama faida zipo ni zipi wengi wamekuwa wakitaka kujua. kupitia Blogu yako pendwa kabisa leo tutakuanishia Faida chache tuh ikiwa ni mwanzo wakufanya watu kufikiria mchezo wa Game katika mawazo chanya.
Zipo faida nyingi sana zakucheza games kwa Mtu mzima na haswa kwa watoto wetu haswa na leo ntaanza kwa kukupatia faida kuu tano anazopata Mtu pale achezapo games na hii imezingatia zaidi kwenye Games za kwenye Kompyuta na vifaa vya aina yake.
(1)KUBORESHA UJUZI WA KUJIFUNZA. Michezo ya games haswa kwenye game za kisasa zimetengenezwa kwa teknolojia ya hali ya juu kabisa na hivyo huhitaji matumizi makubwa ya fikra na uwezo wakijifunza jambo jipya ili kuweza kucheza aina tofauti tofauti za games zinazotoka kila siku, hivyo haswa kwa mtoto au mwanafunzi anayecheza games anakuwa na uwezomkubwa wa kujifunza ujuzi mpya kulinganisha na yule ambaye si mchezaji.
(2)HUONGEZA UWEZO WA KUTATUA CHANGAMOTO. Kama wewe nimfuatiliaji wa game nyingi za kisasa (Modern games) utagundua ya kwamba imejaa ndaniyake changamoto nyingi na kumtaka mchezaj wa game hiyo kupambana na kuzitatua changamoto ili kuendelea kucheza na kujiongezea alama za ushindi, hivyo basi hii humuongezea mchezaji uwezo wakupambana na matatizo mengine yanayomkuta kwenye maisha halisi
(3)HUONGEZA AFYA YA AKILI Wataalamu waliofanya utafiti kati ya wecheza Games na wale wasiojihusisha na michezo hiyo ni kwamba mwenye kucheza game anakuwa na Afya zaidi ya akili na hii hutokana na kwamba muda wote anapokuwa kwenye mchezo wa Games basi akili huwa inatulia na kubaki kwenye Kiyoo cha game tu!
(4)HUPUNGUZA / KUMALIZA TATIZO LA MSONGO WA MAWAZO Moja kati ya tatizo lilalowakumba watu wengi Dunia ya leo ni msongo wa mawazo, na hii hutokea bila hata watu wengine kujua na inamazara makubwa. lakini kwa kuwa mtu mwenye taratibu za kucheza game basi kitaalamu huondoa msongo wamawazo kwa mchezaji na kukuweka fresh kiakili kufanya mambo mengine
(5)HUMJENGEA MCHEZAJI KUJIAMINI Game ni moja ya mchezo unaomruhusu mchezaji kufanya kile anachohisi ni sahihi kwani anakuwa maranyingi yupo pekeyake au laa anakuwa yupo na mtu aliyenauhuru naye hivyo kutokuwa na woga wakujaribu na hii humfanya kuona anaweza na mawazoyake ni sahihi hivyo basi humjengea kujiamini hata kwenye maisha yakila siku. (Mfano kucheza game na mwanao inamfanya sio kukupa challenge kwenye game tu ila hata nje ya game anakuwa anaweza kuchania mawazo mbele yako kama mzazi.)
PAMOJA NA FAIDA ZA GAME PIA ZIPO HASARA ZA MTU KUCHEZA GAME! Hasara kubwa ya Game ni pale mtu haswa mtoto anapokwa Mraibu wa Games Hii hupelekea kupoteza muda na kupitwa na mambo ya msingi kama vile kutokupitia masomoyake muda wa jioni, na kubwa zaidi ni mtoto kuchelewa sana kulala na hivyo kumfanya Siku inayofuata kushinda na uchovu na kushindwa kutimiza majukumu yake ya msingi.
MTOTO ALIYECHEZA GAME HADI KULALA KWENYE MEZA!
Monday, 10 May 2021
BAGAMOYO SUGAR FC...
Picha ya pamoja ya wachezaji wa Team ya Bagamoyo Sugar FC baada ya Bonanza la uzinduzi wa Jezi.
Bagamoyo Sugar Ltd, kampuni iliyopo mkoa wa Pwani Wilaya ya Bagamoyo - Makurunge inayomilikiwa na Azam Bakhresa Group of Companies.Kampuni hiyo ikiwa bado haijaanza kutoa bidhaa ya Sukari lakini mambo ynazidi kupamba moto na Mwezi wasita mwakani inatarajiwa kuanza kutoa Bidhaa ya Sukari na hii itapunguza au kumaliza kiasi cha sukari kinachoagizwa kutoka nchi za nje. Jana Mnamo majira ya saakumi jioni kulikuwa na uzinduzi wa jezi za kwanza kakbisa za timu hiyo zilizozaminiwa na Bakhresa group of Companies (AZAM), Katika uzinduzi kulikuwa na mechi kati ya Timu mbiliManagement na Supervisor's VS Madeva na Maoperator's Mchezo uliochezwa katika viwanja vya bagamoyo mijini majira ya Saakumi jioni, na Hatimaye Timu ya Management and Supervisor ikaibuka kidedea kwa Ushindi wa bao mbili kwa moja (2-1). Golilakwanza likifungwa kwa njia ya mpira wa adhabu baada ya kufanyiwa Rafu Afisa Rasilimali Watu Mr. Abdi na baadaye kipindi cha pili Foward wa timu hiyo ya Managemenet and Supervisor Ikajipatia goli lake la ushindi kutoka kwa Mshambuliaji wake Ibrahimu
Pichani ni baadhi ya wachezaji wa timu Management and Supervisor's katika kupanga mbinu za mapambano baada ya kipindi cha kwanza kutoa suluhu ya moja moja.
SEREKALI YATOA TAMKO LEO KUHUSU KUAGHIRISHWA MECHI YA WATANI WA JADI...
Amemtaka waziri wa habari na michezo kuweza kutoa tamko ikiwamo ni pamoja na kuweka wazi sababu ya kubadilika kwa muda na hatimaye kuaghirishwa kwa mechi ya watani wa jadi Kariakoo Derby ikiwa na sambamba na kuutangazia umaa ni hatua zipi zimechukuliwa na mechi itakuwa lini.
Taarifa hii inawataka mashabiki wote wa mpira duniani kuwa wavumilivu na kutambua Serekali inatambua kwamba kuja jambo lililotendeka ambalo sio sawa na linafanyiwa kazi na mwisho ufafanuzi utatolewa kupitia Wizira husika.
TFF WAOMBA RADHI KUAGHIRISHWA KWA MECHI NA KUIGEUKIA BODI YA LIGI KUU TANZANIA...
Mechi ilikuwa ichezwe majira ya saakumi na moja ya jioni ila hatimaye dakika chache kabla ya muda wa mechi kufika palitokea sintofahamu baada ya Tangazo kutoka kwamba mechi haitachezwa katika muda uliokuwa umetangazwa na badala yake itachezwa mida ya saamoja kamili usiku katika uwanja huo huo.
Mara baada ya taatifa hiyo pakazuka taharuki ambapo mpaka leo bado mambo hayajakaa sawa ni baada ya timu ya Yanga kubaki uwanjani kwa dakika kadhaa baada ya muda wa awali na majira ya takribani saa 11:30 jioni Wachezaji wa yanga walitimka na kuondoka uwanjani ishara ya kuisusa mechi na muda huo huo wahasimu wao Simba FC wakaingia uwanjani tayari kuanza kupasha misuli kwaajili ya mechi saamoja kamili.
Nimudamchache baadae ikasemekana yanga kutangaza kutokucheza meche hiyo kwa kile kilichodaiwa kuishinikiza TFF wamevunja sheria mara baada ya kubadili muda wa mechi hiyo dakika chache kabla ya mechi kuanza wakati sheria inasema ratiba ya mechi itabadilishwa masaa 24 kabla ya muda wa mechi kufika.
Kutokana na halihiyo mengi yamesemwa ila TFF nao hawajabaki nyuma kwautangulizi Uongozi wa TFF wameomba radhi kwa Mashabiki wote hususan wa mpira wa miguu waliokuwa wamejiandaa kuangalia au kusikiliza mechi hiyo yenye mashabiki wengi kuliko Tanzania na Afrika Mashariki kwa usumbufu uliyojitokeza, hawakuishia hapo uongozi huo wa TFF pia umeitaka Bodi ya ligi kuu Tanzania bara kutoa tamko kuhusu sababu zilizopilekea mchezo huo kutochezwa siku na muda husika na hatimaye kuaghirishwa na kutojulikana utachezwa lini.
Saturday, 8 May 2021
DABI SIMBA NA YANGA KWA MKAPA LEO 8.5.21
Nisiku chache mara baada ya Simba kukaa kileleni mwa ligi baada ya kupishwa na wahasimu wao hao wa mpira wa miguu Tanzania.
Mungu Ibariki Tanzania na Amani ipatikane katika mchezo huu wa watani wetu wa jadi!
mwanganews bloggers we are online to update our visitors! |