Picha ya pamoja ya wachezaji wa Team ya Bagamoyo Sugar FC baada ya Bonanza la uzinduzi wa Jezi.
Bagamoyo Sugar Ltd, kampuni iliyopo mkoa wa Pwani Wilaya ya Bagamoyo - Makurunge inayomilikiwa na Azam Bakhresa Group of Companies.Kampuni hiyo ikiwa bado haijaanza kutoa bidhaa ya Sukari lakini mambo ynazidi kupamba moto na Mwezi wasita mwakani inatarajiwa kuanza kutoa Bidhaa ya Sukari na hii itapunguza au kumaliza kiasi cha sukari kinachoagizwa kutoka nchi za nje. Jana Mnamo majira ya saakumi jioni kulikuwa na uzinduzi wa jezi za kwanza kakbisa za timu hiyo zilizozaminiwa na Bakhresa group of Companies (AZAM), Katika uzinduzi kulikuwa na mechi kati ya Timu mbiliManagement na Supervisor's VS Madeva na Maoperator's Mchezo uliochezwa katika viwanja vya bagamoyo mijini majira ya Saakumi jioni, na Hatimaye Timu ya Management and Supervisor ikaibuka kidedea kwa Ushindi wa bao mbili kwa moja (2-1). Golilakwanza likifungwa kwa njia ya mpira wa adhabu baada ya kufanyiwa Rafu Afisa Rasilimali Watu Mr. Abdi na baadaye kipindi cha pili Foward wa timu hiyo ya Managemenet and Supervisor Ikajipatia goli lake la ushindi kutoka kwa Mshambuliaji wake Ibrahimu
Pichani ni baadhi ya wachezaji wa timu Management and Supervisor's katika kupanga mbinu za mapambano baada ya kipindi cha kwanza kutoa suluhu ya moja moja.
No comments:
Post a Comment