KAGERE; CHAMA; MIQUISO; BOKO; MORRISON TUMAINI LA SIMBA
Ikiwa ni siku mbili tuh simebaki kwa Simba kuipata hatima ya Timu yao kuendelea na michuano ya mabigwa afrika au kurudi kucheza mechi za ndani kama watani wao Yanga. Japo ni ngumu ila wachezaji wa Simba pamoja na Kocha wao Gomez wamesema haya katika mahojiono na waandishi tofauti tofauti wa habari "Nikweli tuna mlima mkubwa wa kupanda ili kuendelea na safari yetu ya michuano hii ya mabigwa wa soka barani Afrika lakini hatujalala wala kukata tamaa tangu tumerejea kutoka Afrika ya Kusini na tupo kwenye mazoezi ya kufa na kupona kuhakikisha tunapanda kilima hicho cha ushindi wa goli 5 kwa o katika uwanja wetu wa nyumbani Pale kwa Mkapa! na kurudisha imani ya mashabiki wetu ikiwa ni sambamba na kupata tiketi ya kuendelea katika hatua ya nusu fainali"Hiyo ndio kauli ya Simba kwa ujumla kwa sasa ikiwa ni njia ya kutiana moyo na kuongeza maandalizi katika kuwania nafasi ya kuingia katika hatua ya nusu fainali na hatimaye fainali ya Kombe la mabingwa afrika.
Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Simba FC
No comments:
Post a Comment